Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
thibitisha
Wewe huyo....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thibitisha
Unajua ulevi na uzinzi vinaambatana...Wachungaji wa kwao ni wazinzi, wa TZ ni walevi ngoma droo 1:1.
Ni sawa na petrol na gari.Unajua ulevi na uzinzi vinaambatana...
Hii point ina kila aina ya vitamins...udhaifu ni nature ya ubinadamu ila ... kwenye huo ubinadamu haulalishwi kuwa sahihi.... HIVYO Basi kama wanadamu tunapigana kuwa mbali na dhambi na kadiri yetu tuepukane nazo na sio kujinasibu kuwa tu WASAFI au TUMEOKOKA,,,, Kuokoka ni tendo LA utimilifu kwamba umeshamiliza kila kitu
cc Otorong'ong'o
teh tehIngekuwa padri wa katoliki hapo ungeskia waruhusiwe KUOA..
Otorong'ong'o
Hizo ni akili za hovyo kutoa kichapo kwa mchungaji wakati mke wako alikwenda mwenyewe! Hakulazimishwa na mtu alikwenda kwa mapenzi yake, utawapiga wangapi sasa!? Mwisho uje fungwa bure kwa sababu ya vijinyege vya mkeo visivyo na adabu "shamba likikushinda, wacha walime wenzio" yanini sasa uanze kuvinja majembe ukashitakiwa!?Kwa mchungaji
DuuHizo ni akili za hovyo kutoa kichapo kwa mchungaji wakati mke wako alikwenda mwenyewe! Hakulazimishwa na mtu alikwenda kwa mapenzi yake, utawapiga wangapi sasa!? Mwisho uje fungwa bure kwa sababu ya vijinyege vya mkeo visivyo na adabu "shamba likikushinda, wacha walime wenzio" yanini sasa uanze kuvinja majembe ukashitakiwa!?
Eti unamfanyia mke wa mtu maombi kwenye lodge ? halafu mnavua nguo ?
Mimi nilichoshangaa ni mume wake kutokutoa kichapo
MmmhSote hadharani au kwa kujificha tumetenda dhambi. Tutubu na kumrudia muumba..usimnyooshee mwenzako kidole ungali umetoka fanya uzinzi, kutoa mimba, kusengenya, kuiba, kudhulumu... sikubaliani na mch, nakemea ila kila mtu kwa nafasi yake atubu na anuie kwa dhati kuacha dhambi hasa ile aipendayo na kuifanya mara kwa mara
Eti unamfanyia mke wa mtu maombi kwenye lodge ? halafu mnavua nguo ?
Mimi nilichoshangaa ni mume wake kutokutoa kichapo
k wanini.mkuu?imeandikwa vipi na Wewe unatafsiri vipi? msinyimanewachungaji wa kilokole wasenge sana
Ona majaribu yanavyonikumba! Yanijia Kwa kasi kama mawimbi! ....Shuka bwana... Shuka.. Shuka bwana