M tripple 7
New Member
- Nov 6, 2016
- 2
- 2
Jamaa alikuwa kitandani na mke wa mlevi ghafla mlevi aliingia chumbani kwake huku akiwa amelewa njwiiiiih alipanda kitandani alipo kuwa mke wake na jamaa wakila uroda walipo muona wakajikausha kimnya mlevi baada ya kupanda kitandani alisanuka mambo yakawa hivi!
Mlevi ` Mke wangu mbona nahisi humu kitandani tupo watu watatu?
Mke` Kwanini unauliza hivo mume wangu?
Mlevi` Mbona naona miguu ipo sita?
Mke` Aaah mipombe yako tu hiyo embu shuka afu uangalie vzr!
Mlevi ` Aaaah hizi pombe za offer bhana nimeshuka miguu ipo minne kumbe pombe tu zilinichanganya!!!!!!!!!!!!
By m triple 7.