Fumanizi mara zote huimarisha ndoa..!!

Si kweli once i see or i smell you are out!!! Hata biblia imesema
 
Hapa ndipo naamini ule usemi wa akili zako changanya na za....
Bujibuji labda uanze wewe application ya huo msemo kwa kujilengeshea fumanizi then ukuje na mrejesho nyuma.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hahaa haaa.. huenda Bujibuji ni mmasai, yaani kwao ukienda kwa mke wa mtu unasimika mkuki tu kazi inaendelea, hakuna tabu (Joke)
 
Hapa ndipo naamini ule usemi wa akili zako changanya na za....
Bujibuji labda uanze wewe application ya huo msemo kwa kujilengeshea fumanizi then ukuje na mrejesho nyuma.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
neggirl, kwani mie sijipendi?
Mtaka yote kwa pupa hukosa yote, na sumu haijaribiwi kwa kuilamba
 
Hahaa haaa.. huenda Bujibuji ni mmasai, yaani kwao ukienda kwa mke wa mtu unasimika mkuki tu kazi inaendelea, hakuna tabu (Joke)
Samaaritan, kweli wewe ni msamaria mwema.
Yaani kuchemeka tu mkuki.......
 
Last edited by a moderator:

Nakubaliana na hilo kwa kuzingatia conditions zifuatazo!
Wakati mwingine mtu akipendwa anakuwa mpofu na kujiona yeye ndie yeye na wengine wote si lolote si chochote! Wanafikia hadi kuamini huwezi kupata mwingine zaidi yake! Sasa huyu apendwae akiwa mpuuzi, kitakachofuata hapo ni visa na mikasa....anaamini, huwezi kwenda kokote!! Hata hivyo, anafanya hayo wakati nae bado anakupenda!

Sasa mtu huyo siku akaja kukufumania, loh! Ndipo atakapokuja gundua kwamba kumbe u're able kumpata mwingine zaidi yake! Hapo sasa, ndipo atakapojiuliza na kurudi nyuma ili ailinde ndoa yake kwani keshafahamu kwamba, u're able to go anywhere!

Hata hivyo, msumari huo unakuwa mkali zaidi kwake na kumfanya afanye jitihada zaidi za kuilinda ndoa yake ambayo alishaanza kuipuuza; endapo atakufania kwa mtu ambae kwa namna moja au nyingine yupo juu dhidi yake! Say ni mkeo! Ukaja kufumaniwa kwa mwanamke ambae ni mkali zaidi kuliko yeye....aisee, hata kama ulikuwa huwekei maji ya kuoga, utawekewa!

Alternatively, huyo mwenzi wako keshakinahi kabisaa na wewe! Labda anaendelea kuishi na wewe kwa sababu tu anabanwa na mambo fulani fulani! Kwa ndoa kama hiyo, fumanizi lina mchango mdogo sana.....sana sana kitakachotokea ni kwamba, ikiwa nae alikuwa na mwenzi wake wa siri, sasa hatafanya siri tena!! Afanye siri kumuogopa nani wakati na wewe mwenyewe unafanya!
 
Kuitafuta hatari sio ujasiri.
 
Ngoja na mimi nijaribu kwanza kisha majibu nita ya wasilisha hapa janvini.
 
Mtu mpaka atoke nje ya ndoa ina maana ndani kuna mapungufu ambayo anatoka nje kuziba mapungufu hayo, kwahiyo inawezekana ukafumaniwa na ukampiga chini aliyekufumania na kuendelea na mgoni au kuachana nao wote! Fumanizi haliwezi kujenga uhusiano na linaacha kovu ambalo halitakaa lifutike hata kama watabaki kwenye ndoa.
 
Hahahahaaa usinikumbushe mwaka 2008 August 16, sitakaaa niisahau siku hio
 
Samaaritan, kweli wewe ni msamaria mwema.
Yaani kuchemeka tu mkuki.......

Unafikiri kuna cha usamaria tena hapo mkuu, yaani ukikuta mkuki kwako ina maana na wewe unaenda kutafuta pa kuchomeka hakuna ugomvi. Nadhani hapo wamasai hawana fumanizi, huenda likatokea ukisahau kuchomeka mkuki, raha sana aisee....
 
Uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…