Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndipo naamini ule usemi wa akili zako changanya na za....
Bujibuji labda uanze wewe application ya huo msemo kwa kujilengeshea fumanizi then ukuje na mrejesho nyuma.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
neggirl, kwani mie sijipendi?Hapa ndipo naamini ule usemi wa akili zako changanya na za....
Bujibuji labda uanze wewe application ya huo msemo kwa kujilengeshea fumanizi then ukuje na mrejesho nyuma.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
!.. FUMANIZI mara zote HUIMARISHA ndoa..!! by Mtambuzi.
Jamani haya si maneno yangu ila ni nikuu kutoka kwa mwana jamvi mahiri, aliyebobea kwenye jukwaa lililotukuka, MMU.
Yeye ni mtaalamu aliyebobea kwenye fani ya kuumizwa na kuvunjwa moyo, kufurahi na kujihisi mko peponi, na mambo mengine yanayofanana na hayo, ambayo kwa ujumla serikali tukufu ya Tanzania iliamua kuyaita ni UZEMBE baada ya Ngoswe kuharibu Nyaraka za sensa.
Jamani naomba kwa kina kabisa tuichambue sentensi hii.

Samaaritan, kweli wewe ni msamaria mwema.
Yaani kuchemeka tu mkuki.......
Uongo!.. FUMANIZI mara zote HUIMARISHA ndoa..!! by Mtambuzi.

ApiaUongo