Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
!.. FUMANIZI mara zote HUIMARISHA ndoa..!! by Mtambuzi.
Jamani haya si maneno yangu ila ni nikuu kutoka kwa mwana jamvi mahiri, aliyebobea kwenye jukwaa lililotukuka, MMU.
Yeye ni mtaalamu aliyebobea kwenye fani ya kuumizwa na kuvunjwa moyo, kufurahi na kujihisi mko peponi, na mambo mengine yanayofanana na hayo, ambayo kwa ujumla serikali tukufu ya Tanzania iliamua kuyaita ni UZEMBE baada ya Ngoswe kuharibu Nyaraka za sensa.
Jamani naomba kwa kina kabisa tuichambue sentensi hii.

Last edited by a moderator: