Fumanizi ni kosa la jinai?

Fumanizi ni kosa la jinai?

mavumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
596
Reaction score
328
Wana Bodi,

Kwanza nikiri mimi si Mwanasheria.
Nimekutana na jambo la fumanizi katika mazingira tofauti na kuona watu wakiadhibiwa, wakiaibishwa na kulazimishwa kuingia katika mikataba mbalimbali 9kulipa fidia nk).
Aidha katika hili unakuta kila mwenye sauti atasema yake, Askari atalichukulia kama suala la polisi (criminal/police case), Mwenye mke /Mme atataka alipwe pesa nyingi tu, na huyo aliyemfumania aadhibiwe adhabu za ajabu ajabu.

Cha kushangaza ni mara chache sana kusikia kesi za fumanizi zinazofikishwa mahakamani. Sasa, hizo adhabu zinazotozwa huko mitaani ni halali kweli?

Wenu Mfumaniwa Mtarajiwa (Niweke wazi .......yupo Wife wa mtu ambaye yeye na mimi hatuna amani kwa jinsi tunavyopendana....ni jambo la kawaida).
 
Nnachofahamu inaweza kupelekea makosa ya jinai kutokea ikiwapo vifo.
Mengine watakuja kuongezea wanasheria. Usiishie kujiita mfumaniwa mtarajiwa, unaweza kuwa marehemu kwa hicho kitendo.
 
watu wengi hawapelekani mahakamani sababu nasikia kuwa adhabu yake ni kulipa fidia isiyozidi tshs 50,000 wengi wanamalizana ki mtaani mtaani.
halafu hadi mtu mzima anachepuka inakuwa ni utashi wake
 
Kwa akili niliyonayo nikimfumania mtu sijui kama nahitaji kumfanya chochote, naenda zangu kwa Mzee Mshana Jr anamchomoa huyo mwanaume dushe anambadika papuchi kila usiku naenda kujipigia mzigo bila manung'uniko mpaka ntakaporidhika mwenyewe.
 
Fimanizi ni kosa lako binafsi, unafumaniwaje kibwege?
 
hukumu ya uraiani ni kubwa mni kuluko ya mahakamaniusijaribu huo mchezo kwa kudhani adhabu ya kufumaniwa ni ndogo. mbaya Zaidi hata mwenye mali aliekufumania akikufanyia chochote cha ghafla hana kosa la kujibu mahakamani
 
Kwa hyio kwa mujibu wa sheria za nchi ipo Sheria maasusi inayotamka kuwa funmanizi ni kosa kisheria ....ukiacha sheria za kiimani am kimila
 
Back
Top Bottom