Wana Bodi,
Kwanza nikiri mimi si Mwanasheria.
Nimekutana na jambo la fumanizi katika mazingira tofauti na kuona watu wakiadhibiwa, wakiaibishwa na kulazimishwa kuingia katika mikataba mbalimbali 9kulipa fidia nk).
Aidha katika hili unakuta kila mwenye sauti atasema yake, Askari atalichukulia kama suala la polisi (criminal/police case), Mwenye mke /Mme atataka alipwe pesa nyingi tu, na huyo aliyemfumania aadhibiwe adhabu za ajabu ajabu.
Cha kushangaza ni mara chache sana kusikia kesi za fumanizi zinazofikishwa mahakamani. Sasa, hizo adhabu zinazotozwa huko mitaani ni halali kweli?
Wenu Mfumaniwa Mtarajiwa (Niweke wazi .......yupo Wife wa mtu ambaye yeye na mimi hatuna amani kwa jinsi tunavyopendana....ni jambo la kawaida).