W WILSON MWIJAGE JF-Expert Member Joined May 30, 2011 Posts 276 Reaction score 78 Dec 17, 2012 #1 Ndugu, Mbumbe (Catherine P. Julias) wa viti maalumu kupitia chama cha Sauti ya Umma (SAU) amefumaniwa na mme wa mtu wilayani Temeke na kukatwa mkono wake wa kushoto, kwa sasa amekimbizwa Temeke Hospital kwa matibabu.
Ndugu, Mbumbe (Catherine P. Julias) wa viti maalumu kupitia chama cha Sauti ya Umma (SAU) amefumaniwa na mme wa mtu wilayani Temeke na kukatwa mkono wake wa kushoto, kwa sasa amekimbizwa Temeke Hospital kwa matibabu.
H habi Senior Member Joined Feb 21, 2011 Posts 125 Reaction score 15 Dec 17, 2012 #2 wewe hicho chama kipo bungeni kweli?