Fumba macho dakika moja kumkumbuka Babu seya

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,932
Reaction score
4,544
Mzee huyu alionewa sana, ila iko siku Mungu atamlipia, huwezi kubaka wewe na wanao watatu mkiwa na akili timamu, asiwepo hata mmoja wa kusema hapana, huu ni uonevu wa hali ya juu, kafungwa na kigogo mmoja katika serikali ya buku 7 kwa sababu ya kutembea na hawara wa kigogo huyo.
 
Yaaan huyu vasco da gama fanya lolote usiguse mchepuko wake. Mwenyewe aliupeleka kwenye shoo za babu seya ukamzimikia babu seya, babu wa watu akauranda ikawa noma
 

Kwanini haukupeleka ushaidi huo mahakamani.


Chozi la munyonge na lipo kwa mungu baba.
 
Hakuna dhiki wa dhiki,baada ya dhiki ni faraja ,Huyo alojifanya mungu mtu kumtesa mwenzie na familia yake nae Ana siku yake mungu wetu sote....
 
Nipo nawasikiliza Baba na Mwana na kibao chao Seya. Hawa jamaa ni talented sana.
 

Huyu mbakaji mshhennzy aozee jela!..eti hawezi kubaka? Watu wanakata mikono albino sembuse kubaka? Huwajui wacongo wewe hao wanabaka hadi mbuzi ili watoke kimuziki! Wachawi sana wewe unayemuoneo huruma mpelekee mwanao jela akambake. Post za kippuuzi kama hizi usirudie tena kuzileta hapa. Waliwaharibu vibaya sana wale watoto. Ngoja unijibu nikurudie tena @$//×÷÷ zako
 
Maskini babu seya roho inaniumaga nikimkumbuka acheni tu!Kuna watu wanna roho mbaya!!!
 
Siji kusahau mkuu wa mkoa alivyoamrisha FFU wanipige risasi wakiniona maeneo ya makazi yake,kisa mwanae kafa kaoza. Siku moja namrudisha mtoto na motokaa ya mzee FFU walikuwa wasela wakanambia mzee ameisafisha short gun anakuwinda kama digidigi. Bahati nzuri mzee yule wa kimasai hakuwahi nifahamu angenimwaga mavi. Ila tunaendelea na nataka kuoa.
Wakubwa ni noma,tena mshee papuchi ndio hatari mno. Hatariii
 
un-answered sorrow may Jah be with you Babu Seya there at Ukonga. Amen.
 

mshe.nzi mwana.izaya wewe mja wa laana,una laana ukoo wako wote,mbuzi wewe kasoro mkia,unatetea ungese aliofanyiwa mzee wa watu? umetumwa eti? au wewe ndo jaji uliyewafunga baada ya vasco dagama kuuma waya na kukupa amri hiyo? tena kabisa usirudie tena,%@&§< kabisa wewe serikali yenu ya buku 7 siku zake zinahesabika kenge blue wakubwa,kaa kimya kabisa nyambaf....
 
Vasco da gama ndio nani
 
Mkuu HISTORY ilikupita kushoto nini? VASCO DA GAMA si ndio wale ktk agents of colonialism - Explorers, Missionaries & Traders, sasa V. D. Gama alikuwa anaplay role zote, ila sifa yake kubwa ni MSAFIRI mashuhuri!
 
Mkuu HISTORY ilikupita kushoto nini? VASCO DA GAMA si ndio wale ktk agents of colonialism - Explorers, Missionaries & Traders, sasa V. D. Gama alikuwa anaplay role zote, ila sifa yake kubwa ni MSAFIRI mashuhuri!

Hapo uliposema ni msafiri mashuhuri nimekuelewa
 
Duu pole sana ila mwanaume unatakiwa uwe jasiri usiogope short gun wala FFU.
 
hahahahahahah hahahaha kwikwikwikwo .....eti anaitwa .. Vasco da Gama
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…