wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,932
- 4,544
Mzee huyu alionewa sana, ila iko siku Mungu atamlipia, huwezi kubaka wewe na wanao watatu mkiwa na akili timamu, asiwepo hata mmoja wa kusema hapana, huu ni uonevu wa hali ya juu, kafungwa na kigogo mmoja katika serikali ya buku 7 kwa sababu ya kutembea na hawara wa kigogo huyo.