Fumba macho then uandike neno "Chit Chat" au "JamiiForums"

Fumba macho then uandike neno "Chit Chat" au "JamiiForums"

Hahaaaa. Hii ya chini mdogo wangu hujafumba macho banaaaaaa. [emoji12] [emoji12]

Kama umefumba basi unajua aiseee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimefumba sis ni vile hizo herufi zipo mwanzoni ni rahisi kujua ipi ni ipi.
 
Watu maisha yetu yote tunawasiliana kwa SMS.

huu ni mtihani mdogo sana.

Hata ukiniambia niandike Uzi mzima huku nimefumba macho naweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom