Fumbo!fumbo!fumbo!

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,903
Reaction score
1,979
1:Nilikuwa NAPITA barabarani, nikaumwa na nyoka. Nani atanisaidia?
2:Nilitumwa na mama KUSAGA UNGA; njiani nikakuta mto umefurika! Nitavukaje?
3:Mtoto mdogo anazikwa kaburi la futi tatu. MTU MZIMA atazikwa kaburi la futi ngapi?
Haya ni baadhi ya mafumbo yanayo zingua sana kipindi cha utoto!
Je wewe unayajua majibu yake?
1: Atakusaidia PITA
2: Unga hausagwi,yanasagwa mahindi.
3---
ongezea na ya kwako!!!
 
Bei za kunyolea!
Kawaida:1000
style:2000
kunyoa kipara bure!
Swali:kwa nini kunyoa kipara ni bure?
 
Kulikuwa na guest house tatu: NO15,NO16 na NO17.
Mgeni alipita NO15 na NO16 akashindana nao bei,lakini alipofika NO17 alitoka mbio balaa!!!!
Unadhani kwanini mgeni huyu alitoka mbio NO17 guest house?
 
Kama Simba anakimbiwa mbona mamilioni ya watu wanamshabikia mnyama.
 
Nitajie neno la kiswahili lenye herufi tano,ambalo kila ukitoa herufi toka kulia unapata neno lingine la kiswahili lenye maana.
 
Ni sehemu gani ya mwili wa mwanaume ambayo ni laini, imezungukwa na nywele, inakiungo kinachoweza kuelekezwa upande wowote ule na ikikerwa au kuchezewa hutoa majimaji yanayotiririka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…