Fumbo!fumbo!fumbo!

Fumbo!fumbo!fumbo!

Ni sehemu gani ya mwili wa mwanaume ambayo ni laini, imezungukwa na nywele, inakiungo kinachoweza kuelekezwa upande wowote ule na ikikerwa au kuchezewa hutoa majimaji yanayotiririka?
Jicho
 
Mbele ya kuku kuna kuku na nyuma ya kuku kuna kuku wapo kuku wangapi
 
Mama Yang mimi anawatoto wa 3 wakwnz ni juma na pili uledi je watatu
 
Back
Top Bottom