Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Nimegundua kuna changamoto kubwa sana kwa vijana linapokuja suala la kuchagua mke, vijana wanachagua kiholea holela sana. Future ya mahusiano ni fumbo lakini iyo sio sababu ya kubet kwa mwanamke wa ovyo.
Umekutana na mwanamke mlevi, single mother, sio bikira, yupo 30+, aliolewa akaachika, hana adabu au kapanga wakati hana kazi, izo zote ni red flags. Achana nae, usimuonee huruma mwanamke, usipuuze past ya mwanamke, usjifanye shujaa kwenye maisha ya mwanamke,
Sikiliza kijana mwenzangu, wewe sio kituo cha kubadilisha tabia wanawake ambao walipewa malezi mabovu na wazazi wao. Unahitaji mke ambae yupo tayari kuwa mwenza wako ili mtengeneze maisha yenu, sio project ambayo kila siku utakua unafanya kazi ya kuitengeneza ikamilike.
Kama akulelewa vyema na wazazi wake, kama anakuja kwenye mahusiano na migogoro, ulevi, umalaya, tamaa, dharau, utoto, basi maamuzi bora kwa mustakabali wa future yako ni kuachana nae.
Nyumbani kwako ni mahala patakatifu kwa ajili ya kukusanya nguvu na kupata faraja baada ya miangaiko yako ya siku nzima, sio uwanja wa vita.
Kama baba ake ambae amemleta hapa duniani na kuishi nae kwa takribani miaka 20 ameshindwa, nini kinakufanya kufikiri wewe utaweza?. Sio jukumu lako kurekebisha past ya mwanamke, una maisha yako ambayo unawajibika nayo. Usipoteze muda kubeba jukumu la mzazi kwa mwanamke ambae ni mtu mzima.
Achana na wanawake wa ajabu ajabu. Kama hana heshima, hana shukrani, muda wote anaujaribu uvumilivu wako, uyo sio mwanamke wa kujishughulisha nae. Unahitaji amani sio migogoro.
Kila binadamu ana mapungufu yake lakini mwanamke ambae yupo tayari kuwa mkeo atakua tayari anaijua misingi yake kwenye mahusiano mfano heshima(kuheshimu wengine na kujiheshimu yeye mwenyewe), nidhamu, emotional maturity na wajibu wake. Akikosa izo sifa maana yake hayupo tayari kuwa mkeo, bado hajielewi and that's not your burden, you are not her father.
Kama mwanamke hana heshima, mvivu, past chafu ,ameshaalibu maisha yake nini kinakufanya kuamini atabadilika kwa ajiri yako?. Uyo mwanamke atakuja na tabia zake kwenye mahusiano na muda wako wote wa kuwa nae utaangaika kukabiliana na asili yake.
Mwanaume una mission yako hapa duniani hautakiwi kupoteza muda kumlea mwanamke mtu mzima ambaye akulelewa vyema na wazazi wake. Unahitaji mwanamke ataekupa support kwenye mission yako sio mwanamke atakaekuchelewesha.