Kweli kabisaUmesema vyema
Baada ya miaka mingi ya kukahabika, kuzalishwa, night life kuna kijana nice guy atakuja kufanya naye maisha na kupuuzia her past kwa sababu tu ya kupewa pussy vizuri
Vijana wengi miaka hii ni watumwa wa uchi wa mwanamke wakishapewa good sex wana-ignore her past
Don't be that guy her past is your future
Unataka kusema nini, mbona hauelewekikwani ni wanawake tu ndo wanalewa na kufanya ngono wakiwa 15?
ni wanawake tu ndo wana 'past chafu'?
umezidi siasa
unapotosha vijana, waangalie vigezo vya muhimuUnataka kusema nini, mbona haueleweki
Yawacheleweshe wapi, kwani kuna riadha ya kuoa. Kama ulioa mke ashatumika usipotoshe wengine.unapotosha vijana, waangalie vigezo vya muhimu
mambo ya past yatawachelewesha
Kimbia hapo mzee mwenzangu 😀😀😀😀Eti kapanga wakati hana kazi 🤣
Pole sana humu JF ukikaa na kutulia utajifunza mengiiKweli umenigusa mm nikijana napitia wakati mgumu sana umenibust brain yangu asante🙏
Hii imeniumiza sanaWanashindwa kuelewa kuwa she is pro on bed kwa sababu ya experience ya ukahaba na kutumika na wanaume wengi.
Wamemtumia na kumfundisha kila aina ya ushenzi katika sex
Umekutana na mwanamke mlevi, single mother, sio bikira, yupo 30+, aliolewa akaachika, hana adabu au kapanga wakati hana kazi.
Ni kweli kabisaP
Pole sana humu JF ukikaa na kutulia utajifunza mengii
Inasikitisha sana.. wanaume tumezishusha sana standards zetu, sijui shida nini.Hii imeniumiza sana
Ukweli wenye kuuma
[emoji22]
Inauma sana aisee lakini huo ndo ukweli
What's the essence of that change if it comes after they have been demaged themselves.People do change
Nothing last don't take life too seriouslyWhat's the essence of that change if it comes after they have been demaged themselves.
We have to stop all this bullshit assertions and let everyone face consequences of her past decision. Atleast it will give sense to upcoming generation.
Will you accept your son to marry a demaged woman?Nothing last don't take life too seriously
We Jamaa itabidi tuwe tunachanga hela tunakulipa, siyo kwa madini haya.Nimegundua kuna changamoto kubwa sana kwa vijana linapokuja suala la kuchagua mke, vijana wanachagua kiholea holela sana. Future ya mahusiano ni fumbo lakini iyo sio sababu ya kubet kwa mwanamke wa ovyo.
Umekutana na mwanamke mlevi, single mother, sio bikira, yupo 30+, aliolewa akaachika, hana adabu au kapanga wakati hana kazi, izo zote ni red flags. Achana nae, usimuonee huruma mwanamke, usipuuze past ya mwanamke, usjifanye shujaa kwenye maisha ya mwanamke,
Sikiliza kijana mwenzangu, wewe sio kituo cha kubadilisha tabia wanawake ambao walipewa malezi mabovu na wazazi wao. Unahitaji mke ambae yupo tayari kuwa mwenza wako ili mtengeneze maisha yenu, sio project ambayo kila siku utakua unafanya kazi ya kuitengeneza ikamilike.
Kama akulelewa vyema na wazazi wake, kama anakuja kwenye mahusiano na migogoro, ulevi, umalaya, tamaa, dharau, utoto, basi maamuzi bora kwa mustakabali wa future yako ni kuachana nae.
Nyumbani kwako ni mahala patakatifu kwa ajili ya kukusanya nguvu na kupata faraja baada ya miangaiko yako ya siku nzima, sio uwanja wa vita.
Kama baba ake ambae amemleta hapa duniani na kuishi nae kwa takribani miaka 20 ameshindwa, nini kinakufanya kufikiri wewe utaweza?. Sio jukumu lako kurekebisha past ya mwanamke, una maisha yako ambayo unawajibika nayo. Usipoteze muda kubeba jukumu la mzazi kwa mwanamke ambae ni mtu mzima.
Achana na wanawake wa ajabu ajabu. Kama hana heshima, hana shukrani, muda wote anaujaribu uvumilivu wako, uyo sio mwanamke wa kujishughulisha nae. Unahitaji amani sio migogoro.
Kila binadamu ana mapungufu yake lakini mwanamke ambae yupo tayari kuwa mkeo atakua tayari anaijua misingi yake kwenye mahusiano mfano heshima(kuheshimu wengine na kujiheshimu yeye mwenyewe), nidhamu, emotional maturity na wajibu wake. Akikosa izo sifa maana yake hayupo tayari kuwa mkeo, bado hajielewi and that's not your burden, you are not her father.
Kama mwanamke hana heshima, mvivu, past chafu ,ameshaalibu maisha yake nini kinakufanya kuamini atabadilika kwa ajiri yako?. Uyo mwanamke atakuja na tabia zake kwenye mahusiano na muda wako wote wa kuwa nae utaangaika kukabiliana na asili yake.
Mwanaume una mission yako hapa duniani hautakiwi kupoteza muda kumlea mwanamke mtu mzima ambaye akulelewa vyema na wazazi wake. Unahitaji mwanamke ataekupa support kwenye mission yako sio mwanamke atakaekuchelewesha.
Will you accept your son to marry a demaged woman?
Haujajibu swaliWatu huwa wanabadilika mkuu
Kuna wanawake wengi wako hivi mwisho wa siku wakiona mume anakaribia kumkamata uwongo utasikia nilirogwa na Mama mkubwa.Mkianza harakati za kusaka mtoto mnaambiwa hormone imbalance na upuuzi gani sijui, kumbe mwanamke ashaalibu kizazi kwa kumeza abortion pills