FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Kwa mfano mtu anadaiwa Shs. 60/= , akiwa analipa hilo deni kwa wastani wa shs. 15/= kwa mwaka , tunategemea baada ya miaka mitatu deni libaki Shs.15/=.
Au kama anakopa tena kila mwaka sawa sawa na kiasi anacholipa, basi deni tunatarajia kibaki pale pale Shs.60/=.
Maajabu.
Pamoja na kulipa Shs.15/= kila mwaka, eti deni lake limedouble hadi kufikia Shs.120/= ndani ya miaka hiyo mitatu.
Je, Kihisabati, hii imekaaje kaaje?
View: https://www.instagram.com/reel/DKqlyQNO4Hb/?igsh=OTU3NzgyNjI1M3dt
===========================
www.jamiiforums.com

Nchi za Afrika za Francophonie na Common wealth zinalipa Trillion 3000 kila mwaka kwa Ufaransa na Uingereza kama fidia ya faida za ukoloni
Kwa sasa naandika kwa kifupi sana, ila nitaleta andika kamili kesho au baadae. Nitaanza na Francophone Africa. mnafahamu kwamba Ufaransa iliwasainisha makoloni yake yote mkataba unaoitwa ‘Agreement for the continuation of colonialism’ kabla hajawapa ‘uhuru feki’? Msingi wa mkataba huu ni...