Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,493
Yupo mmoja angalia uzuriHakuna Lions hapo kuna tiger tu
Post sent using JamiiForums mobile app
Yupo fikicha macho mkuu?Hakuna Lions hapo kuna tiger tu
Post sent using JamiiForums mobile app
Basi kuna picha za simba wangapi?Hapa sijibu maana hata simba sijawahi kumuona kwa macho yangu mbali na kuangalia picha na video zake
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Lion?Leopard au Lion?
SM-G955F Samsung galaxy S8+
Dah unaona wewe au kwasababu avatar yako ya mnyama anaeliwa na Simba?Yupo mmoja kwenye mizizi