Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Zile za chini ya carpet, wadau ati kuna vigogo wana nyumba Marekani?
Tujiulize.!
Tujiulize.!
WapoZile za chini ya carpet, wadau ati kuna vigogo wana nyumba Marekani?
Tujiulize.!
hatuna nyumba marekani, sisi vigogo nyumba zipo manzese na mikocheniZile za chini ya carpet, wadau ati kuna vigogo wana nyumba Marekani?
Tujiulize.!
Rostam Aziz hakosi nyumbaZile za chini ya carpet, wadau ati kuna vigogo wana nyumba Marekani?
Tujiulize.!
Kakudanganya nani mbona Dangote ana hustle hata ushenzini ili mradi amechungulia fursa?Hakuna mtu ana nyumba us halafu bado anafanya kazi serikalini, ni stori za vijiweni...
Na kama Rostam au Bakhresa wana nyumba hao ni wafanyabisahara na us haiwezi kukurupuka....
Kikwete awe na nyumba us ili iweje? sio kwamba hana uwezo, ndio anao, lakini haiingii akilini....
Acheni stori za vijiweni...
ni porojo useless tu gentlemanZile za chini ya carpet, wadau ati kuna vigogo wana nyumba Marekani?
Tujiulize.!

Ndio maana nimesema acheni stori za vijiweni...Kakudanganya nani mbona Dangote ana hustle hata ushenzini ili mradi amechungulia fursa?
Kijiweni kwetu kuna watu waongo sana.Hakuna mtu ana nyumba us halafu bado anafanya kazi serikalini, ni stori za vijiweni...
Na kama Rostam au Bakhresa wana nyumba hao ni wafanyabisahara na us haiwezi kukurupuka....
Kikwete awe na nyumba us ili iweje? sio kwamba hana uwezo, ndio anao, lakini haiingii akilini....
Acheni stori za vijiweni...
Nawe unajaribu mdanganya nani ukute mjengo ule nao upo kwenye hatihati na huku ukibugia kwa urefu wa kamba.Ndio maana nimesema acheni stori za vijiweni...
Unajibu kama tuko kijiweni tu...
Dangote anahusiana nini?
Kizimkazi hakosi nyumbaRostam Aziz hakosi nyumba
Kikwete hakosi nyumba
Mombo hakosi nyumba
Kombo hakosi nyumba