Fumbo-Namba ya Simu

Fumbo-Namba ya Simu

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2007
Posts
2,967
Reaction score
2,147
Nimekutana na tangazo hili la kazi ya Computer Engineer, lakini namba ya simu ili kuipata hiyo kazi ni sharti upige kwanza simu, na namba ya hiyo simu imeandikwa kimafumbo. Nami niko huku shamba Katavi na sina calculator wala slide rule. Jamani, mtaalamu wa algebra anisaidie kuifumbua ili nimpe mdogo wangu aombe kazi, na natanguliza shukrani. Preta, Woman of Substance, Abu Tichaz, Bujibuji, Nyani Ngabu, Mbuzi Mzee, Allien, Mzizi Mkavu, Bluray nk msaada kwenye tuta),

Advert _Engineers.jpeg
 
hahahahahahahahahahahhahhahhaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!! mmekamatika vilaza ambao mlifogi veti. kama vipi mpe huyo mdogo wako akalkyulaiti.
 
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahah!!! !!
 
tuki msaidia ku calculeti hizo number za simu akienda kwenye usaili wakampa magumu zaidi itakuaje??
 
ivi kuna engineer hawezi kitu kama icho!?
 
:israel:naomba njia ya kutafuta wafanya kazi iendelee ivoivo ili kupunguza wanaotafuta kazi nawakati wana vyeti
fak!!
 
hakuna msaada hapo kama we ni mtaalamu fumbua hilo fumbo hatutaki vilaza waachie wanaoweza,usisingizie slide rule au calculator
 
kaka ngojea nakuPM sasa hivi ili upate nikupe izo namba zao za simu
 
tuki msaidia ku calculeti hizo number za simu akienda kwenye usaili wakampa magumu zaidi itakuaje??
Kaka upo?
Nimekukumbuka kifaa changu cha hesabu.
Naona hapo ungekua unateleza tu kiulaini!!
 
Kaka upo?
Nimekukumbuka kifaa changu cha hesabu.
Naona hapo ungekua unateleza tu kiulaini!!

nipo mkuu sema michakato ya hapa na pale ndo inaniweka busy kidogo!
 
Back
Top Bottom