Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,967
- 2,147
Nimekutana na tangazo hili la kazi ya Computer Engineer, lakini namba ya simu ili kuipata hiyo kazi ni sharti upige kwanza simu, na namba ya hiyo simu imeandikwa kimafumbo. Nami niko huku shamba Katavi na sina calculator wala slide rule. Jamani, mtaalamu wa algebra anisaidie kuifumbua ili nimpe mdogo wangu aombe kazi, na natanguliza shukrani. Preta, Woman of Substance, Abu Tichaz, Bujibuji, Nyani Ngabu, Mbuzi Mzee, Allien, Mzizi Mkavu, Bluray nk msaada kwenye tuta),

