Habari za majukumu ndugu zanguni, nimekutana na fumbo linasema hivi,
NI MWEUPE KAMA BARAFU PIA NI MWEUSI KAMA GIZA, KULIWA NI HARAMU NA ANAMANYOYA MENGI MWILINI. JINA LAKE LINA HERUFI 5 NA LINAAZIA NA HERUFI X. WANAUME HUONANA NAE MARA 3 KWA SIKU LAKINI WANAWAKE HUONANA NAE MARA 1 KATIKA UHAI WAO WOTE. WAFALME,MAASKALI, VIONGOZI NA WABABE WANAMUOGOPA SANA LAKINI WATOTO WANAMCHEZEA, CHAKULA CHAKE NI CHUMVI,TANGAWIZI NA MAZIWA.JE NI NINI HICHO?
Mwenye uelewa na fumbo hili anifumbulie. Asanteni sana