Fumbo!

Fumbo!

Selekta

Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
24
Reaction score
9
Nipe Jibu- "Uhai wangu hulingana na umbo langu, na huo uhai wangu hutegemea uhai wa mtu mengine, mimi nani?"
<waweza kutumia "Kamusi ya Vitendawili na Mafumbo">
 
Nipe Jibu- "Uhai wangu hulingana na umbo langu, na huo uhai wangu hutegemea uhai wa mtu mengine, mimi nani?"
<waweza kutumia "Kamusi ya Vitendawili na Mafumbo">

jibu lake we ni mtanzania wa leo
 
Wewe ni FISADI= ili fisadi afanye ufisadi inategemeana na cheo chake na ili FISADI afanye ufisadi anategemea watendaji wadogo. NIMEPATIA??
 
Back
Top Bottom