fumbo

Tatizo mkuu umekariri jibu halaf swali hujakariri vizur.., laiti jana ingekua kesho, leo ingekua ijumaa
 
Tatizo mkuu umekariri jibu halaf swali hujakariri vizur.., laiti jana ingekua kesho, leo ingekua ijumaa

Hapana mkuu nipo sahihi kabisa, kwa mtazamo wang.
Jana = ijumaa
Leo =(ingekuwa) jmos
Kumbe;
Jana = (ilikuwa) jmos
Leo = jpil
 
Hapana mkuu nipo sahihi kabisa, kwa mtazamo wang.
Jana = ijumaa
Leo =(ingekuwa) jmos
Kumbe;
Jana = (ilikuwa) jmos
Leo = jpil

chukilia yale maneno mtu angeongea jumatano kwani isingeleta maana?
ilimradi maana ni ileile kwamba Laiti jana ingekuwa ijumaa leo ingekuwa jumamosi. hata kama hayo yameongewa jumatatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…