fanuel nary
Senior Member
- Mar 12, 2014
- 129
- 59
Habari wa ndugu tunatoa huduma ya fumigation and Pest Control hapa Arusha Kwenye maeneo ya Mahotel, majumbani, maghala, lodge nk hasa wadudu jamii ya mbu, Mende, nzi, sisimizi, kunguni, mchwa nk tunawataalam waliosomea TPRI.
Ahsanten
Ahsanten