fumigation-tunapulizia dawa zakuuwa wadudu maofisini na majumbani

fumigation-tunapulizia dawa zakuuwa wadudu maofisini na majumbani

Mijicho

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2009
Posts
288
Reaction score
226
Habari nyote,
Napenda kuwakaribisha kwa huduma zetu.

Tunapulizia dawa za kuuwa wadudu warukao na watambaao,majumbani na maofisini.Huu ni muda mzuri kuangamiza haswa mbu ukichukulia ugonjwa wa dengue unaenezwa na mbu na pia ni vema kuangamiza wadudu haswa baada ya kipindi cha mvua kuisha.
Utaratibu wetu ni kuwa baada ya kuwasiliana nasi tunakuja kufanya survey na kukupa makadirio ya bei kulingana na eneo husika.
Usisite kuuliza kitu chochote.

Karibuni sana
Unaweza kuni pm kwa mawasiliano yoyote
 
Back
Top Bottom