Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Karibu mara zote uwepo wa rangi ya udongo mwekundu ardhini husababishwa na kutu. Chuma kikikutana na hewa ya oxygen na maji hutokeza kutu. Maeneo yenye udongo mwekundu huwa na ardhi yenye madini chuma mengi. Chuma hicho kikipigwa na hewa na maji hutokeza kutu.
Kasulu.
Udongo huu ukiwa umekolea sana kutu huitwa Ocre. Wamasai huutumia sana kujipaka. Husemwa kuwa kiafya husaidia kulinda ngozi dhidi ya jua kali.
Wa misri wa kale pia walijipakaa na walichora picha zao kwa kutumia ocre.