Fun Fact: Wajua kuwa maeneo yenye udongo mwekundu ni sababu ya kutu?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Karibu mara zote uwepo wa rangi ya udongo mwekundu ardhini husababishwa na kutu. Chuma kikikutana na hewa ya oxygen na maji hutokeza kutu. Maeneo yenye udongo mwekundu huwa na ardhi yenye madini chuma mengi. Chuma hicho kikipigwa na hewa na maji hutokeza kutu.

Kasulu.

Udongo huu ukiwa umekolea sana kutu huitwa Ocre. Wamasai huutumia sana kujipaka. Husemwa kuwa kiafya husaidia kulinda ngozi dhidi ya jua kali.





Wa misri wa kale pia walijipakaa na walichora picha zao kwa kutumia ocre.
 
Uzi wa daku huu😁
 
Losharee.... Daby nirekebishe kama nimekosea.

Ile soft dust tulikuwa tunatumia kama 😅😅ukute unaenda kwny sherehe unakuta m2 kapaka zake enjoy face uso umepigwa vumbi la kutosha🤣🤣🤣

Losharee.... Daby nirekebishe kama nimekosea.

Ile soft dust tulikuwa tunatumia kama enjoy face enzi hizo.....😃.
ukute unaenda kwny sherehe unakuta m2 kapaka zake enjoy face uso umepigwa vumbi la kutosha🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…