Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Sisiemu inatupeleka wapi?!Watanzania wengi wanadhani kiswahili cha neno Dam ni bwawa. Wakisikia Mtera Dam basi wanajua kuwa kiswahili chake ni bwawa la Mtera.
View attachment 3595073
Ukweli ni kuwa dam ni ule ukuta unaojengwa kuzuia maji. Baadhi ya tafsiri za kiswahili zinaita ukuta huo Lambo.
View attachment 3595075
Huo ukuta hapo juu ndiyo unaitwa dam. Sehemu yenye maji kwa kiingereza inaweza itwa lake au reservoir.
So hawa jamaa wa Minaki watoe hii aibu. Badala ya kuandika Minaki Dam walau waandike Lake Minaki au pool au pond.
View attachment 3595074
Wageni wakija wakikuta bwawa limekuwa labeled dam tunaabika wote, si wanaCCM peke yao🤣🤣🤣Sisiemu inatupeleka wapi?!
Huyu nae kaazisha uzi..
Na hii ni FACT kwake
Mungu akusamehe
Punguza ungajiWageni wakija wakikuta bwawa limekuwa labeled dam tunaabika wote, si wanaCCM peke yao🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Punguza ungaji
Tuache tu kujiamulia mambo😂Sasa itakuwa je ? 😂 ,
Lambo hili hapa....Baadhi ya tafsiri za kiswahili zinaita ukuta huo Lambo.
Dam linatengeneza lake au reservoir. Hilo la Minaki kwa kufaa ilitakiwa kuitwa Lake Minaki. Kama hapa.Hii inatosha kuitwa dam...
cheza na tafsiri.....
Anza na tafsiri kuu ya nomino "dam"
View attachment 3595078
Halafu, fuatia na hii tafsiri....
View attachment 3595077
Au yakatengenezwa na wanyama kama beavers.Hata miamba, au magogo makubwa yanaweza zuia maji ya ikaitwa damView attachment 3595450
Umeshaelewa sasa?
Kuelewa nini?Umeshaelewa sasa?