Habari ndugu zangu,
Nina eneo la kufanya biashara ya bar/lounge Dodoma mjini. Natafuta mtu atakaye ni sponsor na baada ya miezi 10 mpaka mwaka akapata refunded back na some percentage kulingana tutakavyoingia mkataba.
NB: Kwa aliye serious ani inbox..