Fund/sponsor wa biashara ya bar anahitajika

Fund/sponsor wa biashara ya bar anahitajika

Juju_Kiki

Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
36
Reaction score
2
Habari ndugu zangu,

Nina eneo la kufanya biashara ya bar/lounge Dodoma mjini. Natafuta mtu atakaye ni sponsor na baada ya miezi 10 mpaka mwaka akapata refunded back na some percentage kulingana tutakavyoingia mkataba.

NB: Kwa aliye serious ani inbox..
 
kwanini usitafute sponsor hapo mkawa kama partner mkaunganisha mtaji"
 
Back
Top Bottom