Fundi ama mtu anayeuza na kubandika wallpaper za majumbani

ankai

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
3,282
Reaction score
4,261
Kama kichwa cha habari kinavyosema naitaji mtu ambaye anauza na kubandika wallpaper za majumbani nahitaji aje aniuzie na pia aje kunibandikia nyumbani kama uko apa tafadhali tuwasiliane 0717461661
 
Muwe mnataja na sehemu mlipo.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema naitaji mtu ambaye anauza na kubandika wallpaper za majumbani nahitaji aje aniuzie na pia aje kunibandikia nyumbani kama uko apa tafadhali tuwasiliane 0717461661
Kawachek jamaa wapo Insta
 
Nenda Facebook mtafute mtu anaitwa Beatrice Msacky
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema naitaji mtu ambaye anauza na kubandika wallpaper za majumbani nahitaji aje aniuzie na pia aje kunibandikia nyumbani kama uko apa tafadhali tuwasiliane 0717461661
Habari mkuu,
Umeshapata mtu?
 
Niko dare salam chief wewe unapatikana wap na gharama zako zikoje 0717461661 nicheck apo tuongee basi chief mbona kama vile hutaki biashara
 
Back
Top Bottom