Fundi ama mtu anayeuza na kubandika wallpaper za majumbani

ankai

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
3,282
Reaction score
4,261
Kama kichwa cha habari kinavyosema naitaji mtu ambaye anauza na kubandika wallpaper za majumbani nahitaji aje aniuzie na pia aje kunibandikia nyumbani kama uko apa tafadhali tuwasiliane 0717461661
 
Muwe mnataja na sehemu mlipo.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema naitaji mtu ambaye anauza na kubandika wallpaper za majumbani nahitaji aje aniuzie na pia aje kunibandikia nyumbani kama uko apa tafadhali tuwasiliane 0717461661
Kawachek jamaa wapo Insta
 
Nenda Facebook mtafute mtu anaitwa Beatrice Msacky
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema naitaji mtu ambaye anauza na kubandika wallpaper za majumbani nahitaji aje aniuzie na pia aje kunibandikia nyumbani kama uko apa tafadhali tuwasiliane 0717461661
Habari mkuu,
Umeshapata mtu?
 
Mkuu sijampata uyu mtu kama ni wewe ni check kwenye iyo no tufanye biashsra basi kiobgozi ama omekaaje iyo
Sawa.. Ni mimi.
Niambie mkoa uliopo.. Labda sitaweza kufika mkoa huo wewe ulipo
 
Niko dare salam chief wewe unapatikana wap na gharama zako zikoje 0717461661 nicheck apo tuongee basi chief mbona kama vile hutaki biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…