Fundi gereji!!!

Fundi gereji!!!

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Nakumbuka kipindi najifunza kutengeneza magari baada kumaliza elimu ya msingi wakati nasubiri matokeo nilienda kwa uncle yangu mjini sasa wakati uncle anend zake gereji sikubakaniambia ucle twende zetu gereji mimi siku hiyo kweli nikaenda!! Ikafika mchana mchana nikawa pale gereji wameshaanza kunifahafaham sasa kesho yake nikaend tena pale gereji! Fundi mmoja akaniambia!! Nenda na huo mkokoteni pale kwa uncle wako mwambie akupe spana namba:10 mimi mtu mzima nilijua ni li kitu likubwa kumbe yule fundi aliniuza asee!! Uncle alinitandika kofi hadi saa hivi simpendi kaa nini!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi hawakuwahi kukutuma ukalete gas kwenye kikopo??
 
Sio kwamba alikutuma ili yeye apate wasaa wa kwenda kwa anti yako!!!?
 
Hapana mkuu kule gereji kila mtu alikuwa anatafuta kibonde wake kumbe hata walionitangulia na wao walishikwa masikio kama mimi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom