Fundi magari apata ajali

Fundi magari apata ajali

mr.general

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
989
Reaction score
610
#HABARI: Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, aliyetambulika kama fundi wa magari, amepata ajali maeneo ya River side Ubungo, jijini Dar es Salaam, wakati akipeleka gari yenye namba za usajili T 120 ANP, kwa mmiliki wa gari hiyo maeneo ya Temeke.

Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema dereva wa gari amapata ajali wakati akijaribu kumkwepa mwendesha pikipiki (Bodaboda), katika barabara ya akiba (Service road) katika maeneo hayo.

1717783231912.jpg
 
Back
Top Bottom