mr.general
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 989
- 610
😂😂😂😂😂😂Bosi washa data kuna picha nimetuma
Kazi kweli kweli mkuuSasa itakuwaje..
Usikute hapo unamaanisha chuma chakavu 😹Namba A nikafkri E
Nalo gari huoni chuma kipo gado badoNamba A nikafkri E
Ukute kesho alikuwa na mishe nalo na hivi ni weekend!Kazi kweli kweli mkuu
Itakuwa ana maanisha hivyo😂😂😂Usikute hapo unamaanisha chuma chakavu 😹
Inauma lakiniJamaa kajitutumua katoa 2.5M yake kabla chombo hakijafika kimeangukia njiani. Hapo hamna jinsi maana huenda hata bima halina.
Kweli aiseUkute kesho alikuwa na mishe nalo na hivi ni weekend!
Pole yake fundi