Babatunde_seneior Member Joined Jun 21, 2021 Posts 29 Reaction score 23 Sep 18, 2023 #1 Habari wakuu,. Mimi ni fundi wa gari ndogo nipo Dar es Salaam natafuta sehemu ya kufanyia kazi. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote.
Habari wakuu,. Mimi ni fundi wa gari ndogo nipo Dar es Salaam natafuta sehemu ya kufanyia kazi. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote.
KIDTVTC Senior Member Joined Jan 8, 2019 Posts 176 Reaction score 32 Feb 9, 2024 #2 Babatunde_seneior said: Habari wakuu,. Mimi ni fundi wa gari ndogo nipo Dar es Salaam natafuta sehemu ya kufanyia kazi. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote. Click to expand... Kuna nafsi ya kufundisha wanafunzi KIDT-VTC MOSHI-KILIMANJARO wa ufundi magari ,umeme wa magari na udereva, kama unaviweza hivyo tuwasiliane 0717157640
Babatunde_seneior said: Habari wakuu,. Mimi ni fundi wa gari ndogo nipo Dar es Salaam natafuta sehemu ya kufanyia kazi. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote. Click to expand... Kuna nafsi ya kufundisha wanafunzi KIDT-VTC MOSHI-KILIMANJARO wa ufundi magari ,umeme wa magari na udereva, kama unaviweza hivyo tuwasiliane 0717157640