Fundi Magari

Fundi Magari

Fundiibra

New Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
3
Reaction score
2
Kwa jina naitwa Ibrahim Hassan (Fundi Ibra) ni mkazi wa Dar es salaam (Magomeni).
Ni fundi mzuri wa magari ya aina zote,
*kwa kupiga rangi,
*Kunyoosha
*na kufanya service ya gari yako.
Karibu katika Gereji yetu iliopo Magomeni Makanya (Gereji kwa Bonge)
Kwa mawasiliano zaidi piga namba;
0717 099 200
0715 601 036
 
Nasubiria Noah za makinikia, nitakuja kwenye gereji yako mkuu.. Tuombeane uzima..!!
 
Mi saivi nina sh 5600/= kwa account najichanga kununua range rover. Nikinunua ntakuja u-i-pimp
 
Haya matangazo mnalipia lakini ??

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Samahani..nielimishe, unaposema kufanya service ya gari...ni vitu gani hasa katika gari ni lazima viangaliwe ili kuhakikisha utendaji sahihi wa gari

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom