Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
- Thread starter
- #21
Napatikana 0655173113whatsupp unapatikana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napatikana 0655173113whatsupp unapatikana?
Naomba kuona mchoro pamoja na kufika site ili nitoe gharama halisinipe gharama yako ya kujenga nyumba ya vyumba 3, sebule na jiko
ardhi ni tambarare kichanga
Ukiona unaibiwa na fundi basi jichunguze wewe kwanza, unaweza kuwa ndio sababu.Ni kwa nini mafundi hamridhiki mpaka muibe
poa mchoro nakutumia ila huo mchoro nimeutoa GoogleNaomba kuona mchoro pamoja na kufika site ili nitoe gharama halisi
Sawapoa mchoro nakutumia ila huo mchoro nimeutoa Google
Ok ngoja niustudy mchoroView attachment 1625651
Nipe gharama
Ukimaliza kuusoma gharama utanipa pm..ila boss gharama isiwe kubwa Mimi mwananchi mnyongeOk ngoja niustudy mchoro
SawaUkimaliza kuusoma gharama utanipa pm..ila boss gharama isiwe kubwa Mimi mwananchi mnyonge
Check pm iko tayariUkimaliza kuusoma gharama utanipa pm..ila boss gharama isiwe kubwa Mimi mwananchi mnyonge
Naishi Dar es salaam. Kazi nafanya mikoa yoteUnapatikana wapi