Fundi Mechanics anatafuka kazi - DAR

Fundi Mechanics anatafuka kazi - DAR

Hassanjk

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2023
Posts
333
Reaction score
689
Nina kijana/rafiki
Fundi mzuri wa magari (mechanics), yupo Dar anatafuta kazi
Ni Kijana muaminifu sana (hatumii kileo chochote), Elimu kidato cha nne; amepata ujuzi huo kwa kufundishwa katika garage (sio chuo)
Uzoefu miaka nane, ila hana ofisi rasmi hivyo nimeona nichukue nafasi hii kumtafutia ofisi.
Yupo tayari kwa interview (practical) ili kuwa na hakika na ujuzi wake.
kwa maelezo zaidi, naomba unitumie ujumbe/inbox
 
Jaribu kwenye yard za malori
 
Huyo kijana/Rafiki ndio wewe huyo,

Kazi utapata tu kijana ila acha kujificha ficha,maisha ni yako na sio ya watu wengine.

Sio mimi bro, kwani kunatatizo gani hadi nifiche?
Mimi nawazia mengine kabisa ya high tech....Optoelectronics, Embedded system nk, nk nk
 
Back
Top Bottom