Jaribu kwenye yard za maloriNina kijana/rafiki
Fundi mzuri wa magari (mechanics), yupo Dar anatafuta kazi
Ni Kijana muaminifu sana (hatumii kileo chochote), Elimu kidato cha nne; amepata ujuzi huo kwa kufundishwa katika garage (sio chuo)
Uzoefu miaka nane, ila hana ofisi rasmi hivyo nimeona nichukue nafasi hii kumtafutia ofisi.
Yupo tayari kwa interview (practical) ili kuwa na hakika na ujuzi wake.
kwa maelezo zaidi, naomba unitumie ujumbe/inbox
Huyo kijana/Rafiki ndio wewe huyo,
Kazi utapata tu kijana ila acha kujificha ficha,maisha ni yako na sio ya watu wengine.