Fundi Mwenye Slow Motion

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,574
Reaction score
1,549
Kutoka kwenye Wimbo wa Nandy na Willy Paul, Willy Paul alisikika akijiita "Fundi Mwenye Slow Motion"
Fundi mwenye Slow Motion ni nani?
Taja Sifa za Fundi mwenye Slow Motion
Naanza na
1.hana papara
2.
3.

@Beiraboy
Sakayo
yna2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…