https://www.google.com/url?sa=t&sou...BMAB6BAgGEAQ&usg=AOvVaw1rxphXtQfY6GyxxVOATCkO067 740 1259 Jaribu huyu bro
067 740 1259 Jaribu huyu bro
Habari wakuu,
Naulizia fundi mzuri wa kurekebisha masuala ya umeme kwenye gari, kuna gari (Honda CRV) inawasha taa ya check engine kama baada ya dakika 5 baada ya kuanza kutembea, nimefanya diagnostics inaleta error ya MAP Sensor Circuit,,,,naomba mawasiliano ya kupata fundi mzuri wa masuala haya kwa hapa Dar es Salaam, nawasilisha.
Kama utaweza kwenda Lindi pale kuna magwiji wa hilo tatizo lako. Tembelea garage inaitwa KAHAWA MOTORS.Habari wakuu,
Naulizia fundi mzuri wa kurekebisha masuala ya umeme kwenye gari, kuna gari (Honda CRV) inawasha taa ya check engine kama baada ya dakika 5 baada ya kuanza kutembea, nimefanya diagnostics inaleta error ya MAP Sensor Circuit,,,,naomba mawasiliano ya kupata fundi mzuri wa masuala haya kwa hapa Dar es Salaam, nawasilisha.
KweliKahawa bonge la fundi umeme wa magari ila mwombe yeye mwenyewe ndiyo atengeneze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mafundi tunatofautiana usije ukatengenezewa gari yako na fundi wa toyota,,,hakikisha unapofika unajua kabisa yy anadeal na honda usje kujichanganya coz mafund tuna tamaaHabari wakuu,
Naulizia fundi mzuri wa kurekebisha masuala ya umeme kwenye gari, kuna gari (Honda CRV) inawasha taa ya check engine kama baada ya dakika 5 baada ya kuanza kutembea, nimefanya diagnostics inaleta error ya MAP Sensor Circuit,,,,naomba mawasiliano ya kupata fundi mzuri wa masuala haya kwa hapa Dar es Salaam, nawasilisha.
karibu sana mkuu JO AUTO TECH kama bado hujarekebisha gari yako..tutakulekebishia tupo mwenge karibia na mwenge msikitin au chuo cha kilimanjaro..Habari wakuu,