FUJISTU
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 261
- 93
Habari wakuu,
Naulizia fundi mzuri wa kurekebisha masuala ya umeme kwenye gari, kuna gari (Honda CRV) inawasha taa ya check engine kama baada ya dakika 5 baada ya kuanza kutembea, nimefanya diagnostics inaleta error ya MAP Sensor Circuit,,,,naomba mawasiliano ya kupata fundi mzuri wa masuala haya kwa hapa Dar es Salaam, nawasilisha.