- Thread starter
- #21
Noble Motors siwawezi kakaTatizo la Dar kila fundi mwizi. Kuna siku mi nimenunua gari nikaomba aje fundi anichekie, yaani fundi tapeli akamtuma fundi ambaye hata hajui ufundi, nikamuuliza swali moja tu akaenda chaka, yaani watu wa Dar unahitaji kuwa makini sana, wanaweza kujifunzia kwenye gari lako. Na pia wezi sana. Bora ungeweza nenda kwa service provider wa BMW