Noble Motors siwawezi kakaTatizo la Dar kila fundi mwizi. Kuna siku mi nimenunua gari nikaomba aje fundi anichekie, yaani fundi tapeli akamtuma fundi ambaye hata hajui ufundi, nikamuuliza swali moja tu akaenda chaka, yaani watu wa Dar unahitaji kuwa makini sana, wanaweza kujifunzia kwenye gari lako. Na pia wezi sana. Bora ungeweza nenda kwa service provider wa BMW
Tatizo la Dar kila fundi mwizi. Kuna siku mi nimenunua gari nikaomba aje fundi anichekie, yaani fundi tapeli akamtuma fundi ambaye hata hajui ufundi, nikamuuliza swali moja tu akaenda chaka, yaani watu wa Dar unahitaji kuwa makini sana, wanaweza kujifunzia kwenye gari lako. Na pia wezi sana. Bora ungeweza nenda kwa service provider wa BMW
Poa, naja PM Mkuumkuu kama bado hujapima gari yako na hujaishugulikia ni PM utafuatwa popote ulipo diagnosis mashine siku hizi sio ishu sanaaaa.ishu ni kurekebisha gari ifae.
mashine ni moja ya kitendea kazi cha fundi kinachoturahisishia kazi..
hata kama upo mkoani utafuatwa tuu.
0717228064
Nimeshapajua pale Mkuu, ilipokua stand kwa kule nyuma yake.
Sasa kuichokonoa chokonoa hapo ndio sijaelewa Mkuu, maana si itabidi niwaachie gari kama tatizo ni kubwa,
Na wamfahamu mtu mwenye hiyo Diagnosis Kit nimpatie hiyo fifty anifanyie??
Nakuja Inbox Mkuu
Mkuu kama bado hujapata,karibu Mwenge karibu na TRA, tunashugulika kitaalam na hayo ma gari, mdio tunajishugulisha nayo tu, karibu tukuhudumie, utafurahi mwenyewe
mkuu samahani nilichelewa kukujibu ila ni 50,000/= tuKufanya electonic diagnosis bei gani mkubwa, natanguliza shukrani.
mkuu samahani nilichelewa kukujibu ila ni 50,000/= tu
poa poa mkuu namba ni 0713415537Ntakucheki weekend mkuu. Ahsante sana. Unaweza kunitumia namba yako PM kama hautajali. Vinginevyo nipe maelekezo ya kutosha kufika ofisini kwenu. Ahsante.