Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri mzuri sana.Tatizo dogo sana mkuu nenda kwa fundi umeme wa magari nenda na jibu moja tu mwanbie fundi Armicher/ amicha ya stater ya gari yako imekufa sasa utaamua ww mwenyewe kufunga mpya au kununua starter mpya shida ni huyo tu mkuu means amicha ikipata moto injini lile joto linafanya itanuke pia badili na starter brush. Utakuja nishukuru kwa mrejesho
Andaa 150k mpaka 200k kwa ajili ya kufunguliwa tu Starter usije sema sikukuambia.Nna gari aina mark x inasumbua sana tatizo la starter na power steering. Hasa starter. Jinsi lilivyo ukiliwasha Majira ya asubuhi litawaka vzuri ukitembea kuanzia kilometer 40 kuendelea au ukikaa barabarani kwa muda kupata lisaa 1 af ukaja ukizima halitawaki tena muda huo hio mpaka usubiri saa lingine uje tena ukipiga starter ndio litawaka.
Nimeshashirikisha mafundi katika garage tatu naona wote wameshindwa. Kwa yeyote ambae ashawahi pata hili tatizo kalimaliza tafadhali share fundi wako au ujuzi cha kufanya.
Mara nyingi hii ni Case ya Brush.Tatizo dogo sana mkuu nenda kwa fundi umeme wa magari nenda na jibu moja tu mwanbie fundi Armicher/ amicha ya stater ya gari yako imekufa sasa utaamua ww mwenyewe kufunga mpya au kununua starter mpya shida ni huyo tu mkuu means amicha ikipata moto injini lile joto linafanya itanuke pia badili na starter brush. Utakuja nishukuru kwa mrejesho
Mmebadili relay ya starter?Mmoja kati ya mafundi ashabadilisha starter complete mbili. Ila tatzo linarudi tena
Amesema keshabadili hadi starter nyingine complete bado tatizo lipo nashauri afanye diagnosisMara nyingi hii ni Case ya Brush.
Amesema keshabadili hadi starter nyingine complete bado tatizo lipo nashauri afanye diagnosis
Huu ndio ushauri wa kuufuata,hao wanaokuambia uende dm unaenda kupigwa huko,kuna wajinga shida za wenzao kwao ni fursaTatizo dogo sana mkuu nenda kwa fundi umeme wa magari nenda na jibu moja tu mwanbie fundi Armicher/ amicha ya stater ya gari yako imekufa sasa utaamua ww mwenyewe kufunga mpya au kununua starter mpya shida ni huyo tu mkuu means amicha ikipata moto injini lile joto linafanya itanuke pia badili na starter brush. Utakuja nishukuru kwa mrejesho
Alisikika Mjerumani mweusi akiongea kwa hasira wkt anakunyer.Dah hivi hilo kopo bado unalo?? Toa upuuzi hapa kweli unaanzisha uzi kwaajili ya toyota??
Tatizo dogo sana mkuu nenda kwa fundi umeme wa magari nenda na jibu moja tu mwanbie fundi Armicher/ amicha ya stater ya gari yako imekufa sasa utaamua ww mwenyewe kufunga mpya au kununua starter mpya shida ni huyo tu mkuu means amicha ikipata moto injini lile joto linafanya itanuke pia badili na starter brush. Utakuja nishukuru kwa mrejesho
Unachosema ni sahihi kabisa lkn hio Signal ya ig inapita shm nying na kama kuna component imefail basi ECU inaweza detect hio issue na kulog code so kama hio ndo situation huoni kazi itakua imerahisishwa zaidiSikuwa nimeiona hiyo post.
Ila ninachokifahamu kwenye gari nyingi, Mfumo wa starter hauko integrated na Diagnostic Protocals hasa kwa gari za kijapani.
Hata kwa gari nyingi za ulaya kama BMW Mfumo Starting hauko integrated kwenye Diagnostic Protocals.
Startor motor nyingi zinakuwa na wire mbili tu.
12V direct from battery
Signal from Ignition switch [Hii signal line imepitia maeneo mengi kama kwenye gear lever n.k.]
Kufanya Diagnosis hatopata chochote unless kama ishu yake haihusiani na starting.
Mimi aniambie kitu kimoja tu.
Walijaribu kuloop wire unaopita kwenye relay ya starter wakaona kama starter inazunguka?
Kwa sababu hiyo ndio njia pekee ya kujua kama shida ni starter au the rest of the components.
Ni,sawa pia mkuuUnachosema ni sahihi kabisa lkn hio Signal ya ig inapita shm nying na kama kuna component imefail basi ECU inaweza detect hio issue na kulog code so kama hio ndo situation huoni kazi itakua imerahisishwa zaidi
Ofcoz kuchk codes unaweza usikute kitu lkn pia unaweza kukuta kitu coz ECU inamonitor baadhi ya components na kama hio component inahusika na/imeunganishwa kivyovyote vle starting system basi utakua umerahisisha zaidi.
Approach yangu kila siku nikikutana na gari yenye issue za umeme ni kuipima kwanza then kama kuna code nadeal na hizo directly lkn kama hakuna inabidi kukagua mfumo mzima unaohusika na hio issue, na kama uko na wiring diagrams basi kazi inakua ya uhakika zaidi na sio kubahatisha.