Fundi mzuri wa Mark X napata wapi?

Ushauri mzuri sana.

Mimi gari likileta tatizo nafukunyua kwenye google napata jibu alafu nakwenda kwa fundi namwambia tatizo la gari , namsikilza nikiona anachoongea sio namwelekeza fanya hiki na akifanya tatizo linakuwa limekwisha.
 
Andaa 150k mpaka 200k kwa ajili ya kufunguliwa tu Starter usije sema sikukuambia.
 
Mara nyingi hii ni Case ya Brush.
 
Amesema keshabadili hadi starter nyingine complete bado tatizo lipo nashauri afanye diagnosis

Sikuwa nimeiona hiyo post.

Ila ninachokifahamu kwenye gari nyingi, Mfumo wa starter hauko integrated na Diagnostic Protocals hasa kwa gari za kijapani.

Hata kwa gari nyingi za ulaya kama BMW Mfumo Starting hauko integrated kwenye Diagnostic Protocals.

Startor motor nyingi zinakuwa na wire mbili tu.

12V direct from battery

Signal from Ignition switch [Hii signal line imepitia maeneo mengi kama kwenye gear lever n.k.]

Kufanya Diagnosis hatopata chochote unless kama ishu yake haihusiani na starting.

Mimi aniambie kitu kimoja tu.

Walijaribu kuloop wire unaopita kwenye relay ya starter wakaona kama starter inazunguka?

Kwa sababu hiyo ndio njia pekee ya kujua kama shida ni starter au the rest of the components.
 
Huu ndio ushauri wa kuufuata,hao wanaokuambia uende dm unaenda kupigwa huko,kuna wajinga shida za wenzao kwao ni fursa
 

Mimi Sio Fundi Ila Kwa Maelezo Haya Sina Shaka Anaweza kupata Suluhu au Njia za kuelekea Suluhu
 
Unachosema ni sahihi kabisa lkn hio Signal ya ig inapita shm nying na kama kuna component imefail basi ECU inaweza detect hio issue na kulog code so kama hio ndo situation huoni kazi itakua imerahisishwa zaidi

Ofcoz kuchk codes unaweza usikute kitu lkn pia unaweza kukuta kitu coz ECU inamonitor baadhi ya components na kama hio component inahusika na/imeunganishwa kivyovyote vle starting system basi utakua umerahisisha zaidi.

Approach yangu kila siku nikikutana na gari yenye issue za umeme ni kuipima kwanza then kama kuna code nadeal na hizo directly lkn kama hakuna inabidi kukagua mfumo mzima unaohusika na hio issue, na kama uko na wiring diagrams basi kazi inakua ya uhakika zaidi na sio kubahatisha.
 
Ni,sawa pia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…