Natumaini mnaendelea vyema na maandalizi ya X-mass na Mwaka mpya 2020.
Nahitaji fundi mzuri au gereji nzuri ya TOYOTA kwa MWANZA MJINI.
1. Nina Rav4 engine D4 ina kamlio fulani hivi sikaelewi.
2. Pia nataka niibadiri SEAT COVER
3. Music system ya wiring na bofa na booster
4. AC ina zingua ina hitaji kuongezwa gesi
Admin1988,
Mkuu mm nipo mwanza hapa mabatini AUTO RASH but nipo kwa mda toka dar kuna kazi nimekuja kufanya hapa 1 time so waweza jisogeza hapa..
Na wadau wengine wenye shida kwenye magari yao hasa umeme now nipo mwanza tunaweza onana hata kubadilishana mawazo tuu na kupeana ushauri na kula SATO kidogo #0627136700