E Elizabeth Dominic Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 4,555 Reaction score 3,655 Dec 13, 2014 #1 Natafuta kijana au msichana mwenye ujuzi wa kutumia cherehani, kijana awe muwajibikaji mwenye kiu ya mafanikio ya muda mrefu. Tafadhali wasiliana na mimi PM kwa maelezo zaidi
Natafuta kijana au msichana mwenye ujuzi wa kutumia cherehani, kijana awe muwajibikaji mwenye kiu ya mafanikio ya muda mrefu. Tafadhali wasiliana na mimi PM kwa maelezo zaidi
enoc seth Member Joined Feb 7, 2013 Posts 56 Reaction score 15 Dec 13, 2014 #2 namba zako ziko WAP?nitafute whatsap 0686 87 18 87 Fanya hivyo Elizabeth
abu-luqman Member Joined Nov 26, 2014 Posts 21 Reaction score 10 Dec 13, 2014 #3 Nitafute kwa namba 0767148085