Fundi nguo

Fundi nguo

Elizabeth Dominic

Platinum Member
Joined
Dec 7, 2007
Posts
4,555
Reaction score
3,655
Natafuta kijana au msichana mwenye ujuzi wa kutumia cherehani, kijana awe muwajibikaji mwenye kiu ya mafanikio ya muda mrefu. Tafadhali wasiliana na mimi PM kwa maelezo zaidi
 
namba zako ziko WAP?nitafute whatsap 0686 87 18 87 Fanya hivyo Elizabeth
 
Back
Top Bottom